Wawakilishi wadi wajadili hoja ya kumtimua naibu gavana wa Kisii Robert Monda

  • | Citizen TV
    924 views

    Bunge la kaunti ya Kisii linajadili hoja ya kumtimua naibu gavana wa kaunti hiyo Robert Monda. Mswada huo uliwasilishwa na mwakilishi wadi wa Ichuni, Wycliffe Siocha.