- 84 viewsJulian Assange, mwanzilishi wa tovuti ya ufichuzi ya WikiLeaks, wiki hii alianza juhudi za mwisho za kisheria, za kupinga kurejeshwa kwake nchini Marekani kutoka Uingereza, akikabiliwa na kesi ya madai ya ujasusi, kuhusiana na uchapishaji wa maelfu ya jumbe za kidiplomasia za Marekani na nyaraka za kijeshi zilizoibwa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wafuasi wa Mwanzilishi wa WikiLeak waandamana nje ya mahakama Uingereza
- 9 May 2024 - A special unit has been established within the Directorate of Criminal Investigations (DCI) to monitor threats targeted at bloggers on social media.
- 9 May 2024 - Authorities interrupted rescue efforts in flood-ravaged southern Brazil on Wednesday amid more rain and the risk of lightning and stiff winds that threaten to exacerbate a catastrophe that has already killed at least 100 people and left over 163,000…
- 9 May 2024 - Foreign Affairs Principal Secretary Korir Sing’oei has intimated that President William Ruto is set to meet some of the Hollywood top stars during his visit to the United States (US) on May 21, 2024.
- 9 May 2024 - A 37-year-old woman in Eldoret, Uasin Gishu County was on Wednesday found guilty of killing her husband three years ago.
- 9 May 2024 - Foreign Affairs Principal Secretary Korir Sing’oei has revealed that the Kenyan government is engaging Saudi Arabia to extend a death penalty deadline for a 50-year-old Kenyan Stephen Bertrand Munyahko.
- 9 May 2024 - US media reported that also being delayed was the transfer of 500-pound bombs.
- 9 May 2024 - "We are watching and we will not hesitate to call out the party that betrays today's deal," he said.
- 9 May 2024 - Kimaiyo died on the spot after bleeding heavily.
- 9 May 2024 - Three miners are lucky to be alive after cheating death in the shaft that buried their colleague.
- 9 May 2024 - Provisional results are expected on May 21 and the outcome on June 5.