30 Sep 2025 11:15 am | Citizen TV 314 views Duration: 16:47 Walimu wazua tetesi kuhusu usimamizi wa sekondari msingi Walimu wataka watengwe na walimu wengine shuleni Walimu wa JS wanadai muongozo shuleni unayumbisha CBE Mtafaruku unaendelea kuathiri masomo ya wanafunzi