- 110 viewsDuration: 1:29Tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu imeitaka serikali kutilia mkazo haki za watetezi wa haki. Kwenye kikao na wanahabari hapa jijini Nairobi, tume hiyo inaitaka serikali kuidhinisha na kukumbatia kanuni za kimataifa kama ile ya kuhakikisha raia wanalindwa dhidi ya kutoweka kwa kushurutishwa.