30 Sep 2025 1:37 pm | Citizen TV 365 views Duration: 1:48 Serikali ya Kaunti ya Mombasa, imeanzisha mchakato wa kufadhili utoaji hati miliki kwa maskwota ili kuondoa taharuki na migogoro ya kila mara kuhusu umiliki wa ardhi eneo la Shanzu Kisauni.