- 9,117 viewsDuration: 5:22Upasuaji wa miili kumi na nne ya watu waliofariki kwenye ajali ya siku ya jumapili eneo la kariandusi Kikopey kaunti ya Nakuru inaendelea Katika hospitali ya Gilgil kaunti ya Nakuru, sasa hivi miili ya watu sita ikiwa tayari imefanyiwa upasuaji