30 Sep 2025 1:54 pm | Citizen TV 256 views Duration: 1:50 WRC safari rally Kenya kwa ushirikiano na Kengen, Whitecap na shirika la misitu nchini (KFS), ilishiriki zoezi la upanzi wa miche ya miti ikiwa njia mojawapo ya kuadhimisha siku ya mazingira na afya bora duniani.