Shughuli za biashara zinanoga mjini Kinshasa

  • | Citizen TV
    304 views

    Kwa miaka mingi jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imekuwa ikijulikana kwa misukosuko ya kisaisa mbali na mapigano katika baadhi ya maeneo. Ila baada ya uchaguzi mkuu ulioandaliwa mwaka jana wawekezaji wameelezea matumaini yao kuhusu kuimarika kwa uchumi wa taifa hilo.kinyume na hapo awali.