- 103 viewsWakati Dunia ikiadhimisha siku ya Figo, wagonjwa wanaougua figo wametoa wito kwa serikali nchini Tanzania kutazama namna ya kujumuisha huduma za matibabu ya figo kwenye bima za afya, huku Wataalamu wa afya nao wakikisisitiza Jamii kuchukua hatua za makusudi kujikinga na magonjwa hayo yanayoongezeka duniani kote hivi sasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wagonjwa wa figo waitaka serikali ya Tanzania kujumuisha matibabu kwenye bima ya afya
- - Duniani Leo ››
- 16 May 2024 - Reading Time: 2 minutes The woes bedevi*ling Migori County A*sembly Speaker Charles Owino Likowa appear have escalated following a move by its Clerk to […]
- 16 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Transport Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen announced yesterday that the government is facing a daunting task of restoring transport infrastructure rav*ged […]
- 16 May 2024 - The case has been previously shrouded in mystery with the details emerging after an investigative piece.
- 16 May 2024 - Reading Time: < 1 minute Here is what you need to know to get up to sp*ed with today’s happenings. Blackout Five counties wi*l today be […]
- 16 May 2024 - Reading Time: 2 minutes The Anti-Corruption Court has ordered a graft case against former Muranga Governor Mwangi wa Iria and seven others accused of […]
- 16 May 2024 - The Auditor General's report flags bursary cheques whose amounts were altered.
- 16 May 2024 - Girls from poor families miss 20 per cent of school days in a year due to a lack of sanitary towels.
- 16 May 2024 - Reading Time: 3 minutes Thousands of households in the Mt Kenya region are sti*l p****ed by the effects of prolonged floods in the country […]
- 16 May 2024 - To have any hope of victory, you have to start out very early, and campaign relentlessly for years.
- 16 May 2024 - Ramaphosa's opponents vow to challenge the new law in court and described it is a ploy for votes.