Jamii ya waata yalalamika kuhangaishwa na wafugaji Kilifi

  • | Citizen TV
    96 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi sasa imetakiwa kuunda sheria maalum ya kukabiliana na wafugaji wa kuhamahama ambao wamekuwa kero na kuzua taharuki eneo hilo