Maswali kuhusu faida ya mpango wa uwezeshaji mashinani

  • | Citizen TV
    53 views

    Mtafaruku wa kisiasa umeibuka katika Kaunti ya Trans Nzoia baada ya waakilishi wadi kutoka eneo bunge la kwanza kutaka kusitishwa kwa mpango wa uwezeshaji unaoendeshwa na viongozi wa Kenya Kwanza, wakidai kuwa ni lazima urekebishwe ili kuhusisha makundi yote ya jamii