- 202 viewsWabunge wa Marekani wamejibu kwa mfululizo wa matamshi yenye utatanishi yaliyotolewa na mgombea urais wa Republica Donald Trump siku ya Jumamosi. Wakati rais kutoka chama cha Democrat Joe Biden hakuwa kwenye kampeni mwishoni mwa wiki, juhudi zake za kutaka kuchaguliwa tena zilibeba vichwa vya habari. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wabunge wa Marekani yajibu matamshi yenye utata yalitolewa na Trump
- 9 May 2024 - EACC detectives on Thursday arrested four traffic police officers for extorting motorists along the Embu-Siakago Road.
- 9 May 2024 - Deputy President Rigathi Gachagua says the government has set aside Ksh.300 million to help victims of the Mai Mahiu floods get new homes.
- 9 May 2024 - According to Bomet central sub-county police boss Musa Oma who confirmed the incident, the four were travelling in a saloon car when it was rammed by a lorry in the middle of the bridge, forcing it it into the river.
- 9 May 2024 - A Senate sitting scheduled for Thursday afternoon has been suspended following a power outage at the Parliament premises.
- 9 May 2024 - Inaction in advancing the implementation of the Sustainable Development Goals (SDGs) could cost the global economy an extra $38 trillion per year by 2050 at the current rate of progress.
- 9 May 2024 - The ongoing heavy rains that have taken the lives of over 250 Kenyans are set to end soon.
- 9 May 2024 - We are covering blunders bedeviling CS Machogu days to school reopening as well as Linturi nearing tears discussing his relationship in Parliament.
- 9 May 2024 - Agriculture Cabinet Secretary Mithika Linturi was on Thursday overcome by emotion while testifying before a parliamentary committee hearing his impeachment case.
- 9 May 2024 - CS Murkomen made the announcement during his meeting with UK High Commissioner Neil Wigan.
- 9 May 2024 - TikTok and ByteDance filed the petition in the US Court of Appeals for the District of Columbia Circuit.