- 153 viewsMashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kuna kiasi cha watu laki nane ambao wanaishi katika kambi za wakimbizi karibu na mji wa Goma. Maafisa wa afya wanaofanya kazi hapo wanasema wengi wao wanaathiriwa na masuala ya afya ya akili. Kundi la Madaktari wasio na Mipaka MSF wanafanya kile wanachoweza kusaidia. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Takriban watu laki nane DRC wanaishi katika kambi za wakimbizi
- 10 May 2024 - Civilian contractors have arrived in Haiti to build living quarters for a Kenyan-led international security force meant to counter gang violence in the Caribbean nation, the U.S. military's Southern Command said.
- 10 May 2024 - Somalia's government has requested the termination of a U.N. political mission that has advised it on peace-building, security reforms and democracy for over a decade, according to a letter the foreign minister wrote to the Security Council.
- 10 May 2024 - Relatives of 44 construction workers trapped under a collapsed building in the South African city of George faced a fourth day of anguished waiting on Thursday as heavy machinery worked at the site in a race against time to find any survivors.
- 9 May 2024 - Despite the resumption of doctors to their workstations in public hospitals, health services are yet to normalize in most facilities with clinical officers and medical laboratory officers still on strike.
- 9 May 2024 - President William Ruto has called for a strong commitment from all parties in the South Sudan peace process to achieve lasting and sustainable peace.
- 9 May 2024 - The Nairobi County Assembly Housing Committee wants the County Planning Committee disbanded over what it terms as lack of transparency in the approval of buildings in the city.
- 9 May 2024 - A Nairobi man was on Thursday sentenced to life imprisonment for defiling a six year-old girl in Kibera's Makina area.
- 9 May 2024 - The RSF is accused of committing ethnic cleansing against Massalit and other non-Arab communities.
- 9 May 2024 - Deputy governor Ayub Savula said more than 1,000 households have been affected.
- 9 May 2024 - President William Ruto has called for a strong commitment from all parties in the South Sudan peace process to achieve lasting and sustainable peace.