- 89 viewsTakriban raia wa Senegal milioni saba wanatarajiwa kuelekea katika vituo vya kupiga kura siku ya Jumapili kwenye uchaguzi wa Rais ambao kwa mara ya kwanza haujulikani nani anaweza kupata ushindi kufuatia wiki kadhaa za ghasia na wasi wasi wa kisiasa. Yeyote atakayeibuka mshindi atakua na jukumu la kuliongoza taifa hilo ambalo lilikua kitovu cha utulivu kwa miaka mingi Afrika magharibi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wasenegal kufanya uchaguzi wa rais Jumapili | VOA Swahili
- 11 May 2024 - A bodaboda operator from Kerugoya, Kirinyaga County has been arrested for harboring two sisters reported missing by their kin over a month ago.
- 11 May 2024 - The United Nations General Assembly on Friday overwhelmingly backed a Palestinian bid to become a full U.N. member by recognizing it as qualified to join and recommending the U.N. Security Council "reconsider the matter favorably."
- 11 May 2024 - The Biden administration on Friday said Israel's use of U.S.-supplied weapons may have violated international humanitarian law during its military operation in Gaza, in its strongest criticism to date of Israel.
- 11 May 2024 - NTSA has been cracking down on unroad-worthy vehicles across the country since April.
- 11 May 2024 - Environment Climate Change and Forestry Cabinet Secretary Suipan Tuya has revealed that the Friday Tree Planting holiday was more successful than the first one last year.
- 11 May 2024 - According to the police report, the suspect rode on his motorcycle with the KDF officers into Kabete Barracks.
- 11 May 2024 - About 70,000 people are living in temporary shelters.
- 11 May 2024 - Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u has challenged the County Government of Machakos establish a mango pulp processing plant to enhance value addition. The CS, who spearheaded a tree planting exercise in Machakos, urged residents to consider…
- 11 May 2024 - The execution of the legal instrument to make the Public Benefits Organisations Act operational, the President said, demonstrates the government’s commitment to forging a strong partnership with civil society.
- 11 May 2024 - Seven people were killed when a bus with an estimated 20 people on board crashed into a river in the northern Russian city of St Petersburg on Friday, officials said.