- 85 viewsKatika kijiji cha mbali cha Lobamba Lomdzala, nchini Eswatini, watoto wanakabiliwa na changamoto kutokana na mzozo ambao umewaacha maelfu ya mayatima, wakiishi katika hali mbaya. Katika jamii hii, watoto wengi wameachwa bila makazi au usalama wa kutosha, huku wengine wakikimbilia kuomba chakula, kwenye mitaa iliyojaa vumbi. Hata hivyo, katikati ya mgogoro huu, pia kuna hadithi za matumaini. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mzozo wawaweka watoto yatima Eswatin katika mazingira magumu
- 10 May 2024 - Following an operation targeting illegal fuel siphoning sites along Kangundo Road on Thursday, Directorate of Criminal Investigations (DCI) detectives seized large quantities of siphoned fuel alongside various equipment used in the illicit trade.
- 10 May 2024 - The government is implementing new laws and policies that will facilitate growth in IT-enabled services in the country, President William Ruto has said.
- 10 May 2024 - In President William Ruto's administration, one man has emerged as the master player in the intricate State House power play - Oscar Sudi.
- 10 May 2024 - A key witness in the murder trial of the Eldoret-based police woman accused of fatally shooting her husband twelve times in October 2023 testified in court on Thursday, intimating that the officer acted in defense of her children's lives, allegedly…
- 10 May 2024 - Gor Mahia edged out Shabana 1-0 in the reverse fixture in November with Rooney Onyango scoring late at Moi Stadium, Kasarani.
- 10 May 2024 - Russian forces are said to be preparing a summer offensive in Ukraine in the coming weeks.
- 10 May 2024 - Interior and National Administration Cabinet Secretary Kithure Kindiki has urged residents who have encroached on the riparian reserves and corridors to vacate immediately. Speaking Friday during the National Tree Planting exercise, Marsabit County,…
- 10 May 2024 - It is important to clean up any standing water that could serve as a breeding ground for disease-carrying organisms.
- 10 May 2024 - ALN Kenya and ALN Tanzania and Adili Group have announced the appointment of Chris Diaz as Executive Chairman of Adili Group and Director of Growth and New Markets for the Firms. His appointment signifies a strategic move aimed at driving pan-African…
- 10 May 2024 - The UK had fallen into recession last year after the economy contracted for two three-month periods in a row.