Watu 4 wauwawa kwenye shambulizi la kilipuzi eneo la Mandera

  • | Citizen TV
    190 views

    Kulitokea kizazaa katika hospitali ya Rufaa ya Mandera pale maafisa wawili waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu ya kutegwa ardhini jana walipokuwa wakisafirishwa hadi uwanja wa ndege kwa matibabu zaidi jijini Nairobi.