- 901 viewsDuration: 6:58Mgomo wa wahadhiri ukiendelea kwa wiki ya tatu sasa, wanafunzi wa vyuo vikuu ya umma nchini sasa wanaitaka serikali kutatua mgomo huo la sivyo waandamane. Mjini mombasa, wanafunzi wa chuo cha tum sasa wanatishia kufanya maandamano katika afisi za serikali endapo mgomo huo utaendelea.