2 Oct 2025 10:37 am | Citizen TV 568 views Duration: 1:41 Wanafunzi wa chuo kikuu cha kca wamezindua trelio, programu ya kwanza ya afya ya akili iliyobuniwa nao wenyewe kwa madhumuni ya afya ya kiakili kwa ajili ya wenzao.