- 202 viewsDuration: 1:52Serikali imezindua mbio za masafa katika msitu wa mau katika kaunti ya Nakuru, mbio hizo zimeratibiwa kufanyika tarehe 24 Oktoba , 2025 katika kaunti ndogo za Kuresoi Kaskazini na Kuresoi Kusini ili kulinda na kuhifadhi msitu huo.