Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa gredi ya nane afariki Kilifi baada ya kudaiwa kupigwa vibaya na mwalimu

  • | Citizen TV
    4,386 views
    Duration: 2:29
    Familia moja kijiji cha Junju eneo la Kilifi inamuomboleza mwana wao aliyefariki baada ya kudaiwa kuchapwa na walimu akiwa shuleni. Ripoti ya upasuaji ilionyesha kuwa mwanafunzi huyo wa gredi ya nane katika shule ya Gongoni alifariki baada ya kugongwa kichwani mara kadhaa.