Skip to main content
Skip to main content

Mkataba wa kibiashara wa AGOA yafika mwisho

  • | Citizen TV
    4,637 views
    Duration: 2:29
    Kwa muda wa miaka 25, sekta ya nguo ilifurahia matunda ya mkataba wa ukuzaji wa biashara Afrika wa AGOA kwa ushirikiano na serikali ya Marekani. Hata hivyo, kampuni zilizofaidi mkataba huu sasa zimewachwa njiapanda baada ya mkataba huu kufikia kikomo hapo jana. Jimmy Mbogo alitembelea baadhi ya kampuni hizi Kitengela, ambao sasa huenda zikalazimika kutafuta namna nyingine.