2 Oct 2025 1:17 pm | Citizen TV 610 views Duration: 3:10 Uvamizi na visa vya wizi wa mifugo umezuka upya katika eneo la samburu kaskazini na kuwatia kiwewe wakazi kuhusu usalama wao. Wakazi hao wanamtaka waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kuchukua hatua za dharura