2 Oct 2025 1:25 pm | Citizen TV 252 views Duration: 1:46 Wakulima wa kahawa katika eneo la Kiungani, Kaunti ya Trans Nzoia, wameandamana wakishinikiza serikali ya kaunti kumaliza mzozo wa shirika la wakulima wa kahawa ambao umedumu kwa zaidi ya miaka 29 sasa.