2 Oct 2025 1:29 pm | Citizen TV 165 views Duration: 1:45 Huku Dunia ikiadhimisha siku ya kahawa, Wakulima na Viongozi wa mashirika ya kahawa katika kaunti ya Kirinyaga wameendelea kupinga sheria mpya za malipo ya kahawa kupitia mfumo WA Moja kwa Moja wa DSS.