Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Birini kaunti ya Kilifi wahangaika wakitafuta maji

  • | Citizen TV
    273 views
    Duration: 1:48
    Wakaazi wa eneo la Birini eneo la Chalani kaunti ya Kilifi wanaomba wadau wa serikali na wasio wa serikali kuwasaidia kutatua tatizo sugu la ukosefu wa maji ambalo limekumba kaunti ndogo ya Kaloleni kufuatia kiangazi cha muda mrefu.