Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa kaunti ya Garissa kuendelea kupata maji kwa mgao

  • | Citizen TV
    687 views
    Duration: 1:39
    Wakazi wa mji wa Garissa na viungani mwake, wataendelea kushuhudia uhaba wa maji kwa wiki tatu zaidi kutokana na ujenzi wa daraja katika barabara kuu ya Garissa kuelekea Nairobi.