Skip to main content
Skip to main content

Chama cha wachumi kimeanza kongamano rasmi kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    341 views
    Duration: 1:28
    Chama cha wachumi nchini (ESK) kimefungua rasmi kongamano la kila mwaka katika hoteli moja kaunti ya Kwale. Hafla hiyo inawaleta pamoja wachumi, watunga sera, wasomi, na washirika wa maendeleo kutafakari mwelekeo wa maendeleo wa Kenya wa siku za usoni.