- 848 viewsDuration: 3:23Huku mtaala wa CBE ukitarajiwa Kuingia Gredi ya 10 mwaka ujao, Wanafunzi ambao wanapania kuchagua mkondo wa sayansi ya jamii wanaendelea kutumia majukwaa ya mashindano ya mijadala na mazungumzo ya umma kunoa makali yao kabla ya kupanda ngazi ya gredi ya 10.