Tabasamu kwa wale wote walioathirika na mbolea feki ya bei nafuu.
Baada ya vilio na lalama kutoka kwa wakulima mbalimbali kupewa mbolea feki ya bei nafuu, sasa seriikali mejitokeza tayari kuwafidia wakulima walioathirika na mbolea hiyo waliyopokea kupitia maghala ya halmashauri ya nafaka na mazao nchini NCPB.
Akihutubia wanahabari katika makao makuu ya wizara ya kilimo baada ya kuwa na mkutano na viongozi wa vitengo husika katika sekta hiyo kama vile NCPB, kephis na KEBS, katibu katika wizara ya kilimo Dkt Paul Ronoh alisema kuwa wizara imeamrisha halmashauri ya NCPB kuwapatia wakulima walioathirika mbolea nyingine mbadala ya kupanda kwa wale ambao hawajapanda na kuwapa mbolea ya kunyunyizia kwa wale ambao tayari wameshapanda.
16 Jun 2025
- Kenyans could find it impossible to go to the United States in the coming weeks if a ban takes effect.
16 Jun 2025
- The CS spoke during a press conference on Monday, June 16.
16 Jun 2025
- Lagat has been under pressure to step aside.
16 Jun 2025
- Deputy Inspector General (DIG), Kenya Police Service Eliud Kipkoech Lagat has resigned.
16 Jun 2025
- Deputy Inspector General (DIG), Kenya Police Service Eliud Kipkoech Lagat has resigned.
16 Jun 2025
- The National Social Security Fund (NSSF) has dismissed the Auditor General’s report for the financial year ending June 2024, which flagged a series of questionable expenditures and failed investments totaling billions of shillings.
16 Jun 2025
- Interior Cabinet Secretary (CS) Kipchumba Murkomen has announced a new raft of policy reform frameworks in the National Police Service (NPS) to streamline efficiency in police stations across the nation.
16 Jun 2025
- Government Spokesperson Dr. Isaac Mwaura has come out to dispel reports that Kenya is involved as an architect in the Sudan war.
16 Jun 2025
- Tanzanian opposition leader Tundu Lissu told a court on Monday he had been denied his basic legal rights and that he would defend himself against a treason charge that carries the death penalty.
16 Jun 2025
- The court has outlined a series of tough conditions to be met by the accused.
16 Jun 2025
- The former CJ accused top officers of lying under oath to cover up the death.
16 Jun 2025
- Kenyans could find it impossible to go to the United States in the coming weeks if a ban takes effect.
16 Jun 2025
- A life-changing education initiative empowers vulnerable girls to dream big and break free from cycles of oppression.