- 923 viewsDuration: 3:21Wizara ya elimu na viongozi jioni ya leo wanawekwa kwenye darubini kufuatia hali mbovu ya shule ya msingi na sekondari ya Chebonei katika eneobunge la Emurua Dikirr kaunti ya Narok. Mbali na miundo misingi mibaya ya kaunti hii, wanafunzi wengine walazimika kusomea hata jikoni kwa ukosefu wa madarasa