2 Oct 2025 7:37 pm | Citizen TV 5,154 views Duration: 39s Watu 4 wamefariki huku wengine kumi wakijeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Kanagoni, kwenye barabara ya Malindi kuelekea Garsen