- 327 viewsDuration: 1:17Kocha wa timu ya taifa ya kandanda ya wanawake Harambee Starlets Beldine Odemba amewaita wachezaji sita kutoka timu ya Rising Starlets kwenye kikosi cha kufuzu kwa kombe la mataifa ya Afrika. Odemba amewataka wachezaji 38 kufika kambini Jumapili, tarehe 5 Oktoba