3 Oct 2025 10:18 am | Citizen TV 930 views Duration: 2:01 Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kaunti ya Kilifi inasema iko na imani vijana wa rika la Gen Z watajitokeza Kwa wingi na kujisajili kuwa wapigakura.