3 Oct 2025 10:09 am | Citizen TV 536 views Duration: 1:20 Uchunguzi wa mwili wa Allan Kamau, mkazi wa Isebania aliyepatikana amefariki katika kituo cha polisi cha Komomwamu ilithibitisha kuwa alifariki Kwa kunyongwa.