- 3,362 viewsDuration: 3:52Hatimaye shule ya msingi ya Kosachei Adventist iliyoko eneo la Turbo kaunti ya Uasin Gishu, imepewa msaada wa shilingi millioni 5 za ujenzi wa miundomsingi ambayo imedorora. Shule hiyo imekuwa katika hali mbovu ya kutamausha.