3 Oct 2025 10:23 am | Citizen TV 285 views Duration: 1:46 Serikali ya kaunti ya Mombasa inanuia kuanzisha mpango wa kuwapa mafunzo maalum wafanyikazi walio karibu kustaafu kuhusu jinsi ya kuishi na kujiendeleza maishani baada ya kustaafu.