3 Oct 2025 10:25 am | Citizen TV 3,788 views Duration: 1:36 Mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 15 anauguza majeraha mabaya katika hospitali moja mjini Busia baada ya kupigwa na nguvu za umeme alipokuwa akienda mtoni.