3 Oct 2025 10:29 am | Citizen TV 213 views Duration: 1:38 Shirika la Nishati ya Nyukilia na Umeme, NuPEA, limeanza mashauriano ya kina na Bunge la Kaunti ya Siaya, likiwa na mpango wa kuanzisha mradi wa umeme wa nyuklia ifikapo mwaka 2027.