3 Oct 2025 10:43 am | Citizen TV 197 views Duration: 1:55 Kongamano la kila mwaka la Kenya Green Building Society (KGBS) na Green Expo 2025, kwa ushirikiano na benki ya KCB limeanza katika hoteli moja jijini Nairobi.