- 282 viewsDuration: 1:53Tume ya Kitaifa ya Usawa wa Jinsia na Haki (NGEC) inataka serikali za kaunti kuanzisha nyumba salama kwa waathiriwa wa ukatili wa kijinsia (GBV). Makamu Mwenyekiti wa NGEC, Thomas Koyier, alieleza umuhimu wa vituo hivi katika kuwalinda na kuwasaidia waathiriwa kupona.