- 1,166 viewsDuration: 2:12Waziri wa elimu Migos Ogamba amewataka wahahdiri na wanachana wa UASU, KUSU na Kudhea kusitisha mgomo huku serikali ikiendelea kutekeleza mkataba wa makubaliano kwa awamu. Migos ameyasema hayo alipozindua mtihani ya kitaifa katika makao makuu ya baraza la mitihani nchini KNEC mtaani South C.