Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa makao makuu ya kituo cha uhifadhi wa mbuga Taita Taveta wakwama

  • | Citizen TV
    2,417 views
    Duration: 2:37
    Muungano wa wanamazingira ya Taita Taveta Wildlife Conservancies Association (TTWCA) hawakusazwa baada ya ufadhili ya zaidi ya milioni 50 ya kujenga makao makuu ya shirika hilo kukatizwa ghafla kabla ya ujezi huo kukamilika. Hata hivyo wanashirika hilo wameamua kuskuma gurudumu hilo la mamilioni ya pesa kwa kuchangia mradi huo wenyewe na kushirikisha wanajamii kwa jumla kuona kuwa mradi huo unafaulu.