- 1,191 viewsDuration: 2:57Mvutano kati ya serikali ya kaunti ya Kiambu na madaktari unaendelea kutokota huku mgomo wao ukiingia mwezi wa tano. Muungano wa madaktari KMPDU sasa unataka serikali ya kaunti hiyo ivunjiliwe mbali, huku ukimtuhumu gavana Kimani Wamatangi kwa kutoshughulikia sekta ya afya. Na kama anavyotuarifu Emily Chebet, gavana amekana madai hayo, akisisitiza kuwa huduma katika hospitali zote Kiambu zinaendelea kama kawaida.