- 3,323 viewsDuration: 2:47Rais William Ruto ametetea utendakazi wa bima ya Afya, SHA, akisema Wakenya wengi wanafaidika kwa kupata matibabu maalum kinyume na ilivyokuwa katika bima ya NHIF. Akizungumza huko Vihiga katika ibada maalum ya kusherehekea miaka 100 ya kanisa la PAG, Rais Ruto aliahidi kwamba atahakikisha uchumi wa taifa unafikia viwango vya mataifa yaliyoendelea.