- 542 viewsDuration: 3:05Na sasa tuelekee kwenye mgomo wa waadhiri ulioingia siku ya 25. Ukosefu wa utekelezaji wa mikataba ya makubaliano umechangia misururu ya mgomo katika vyo vikuu vya umma nchini. Mbali na hayo maswala mengine yameibuka na ambayo sasa yamesambaratisha shughuli za masomo kwa wiki ya tatu sasa. Serfine Achieng Ouma anaangazia baadhi ya sababu za migomo ya wahadhiri.