- 2,526 viewsDuration: 2:00Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki kutoka maeneo tofauti kote nchini walikusanyika katika madhabahu ya Subukia kaunti ya Nakuru kwa maombi ya kitaifa. Viongozi wa kidini wakitoa wito wa amani, umoja na maridhiano taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka elfu mbili ishirini na saba.