- 960 viewsDuration: 1:23Aliyekuwa meneja mkurugenzi wa kampuni ya Royal Media Services, Michael Githae na mkewe Jane Githae wamesherehekea miaka hamsini ya mapenzi na maisha yao pamoja kama mume na mke kwenye hafla ya kukata na shuka iliyoandaliwa kaunti ya Kirinyaga.