Skip to main content
Skip to main content

Hatma ya wanaharakati waliotekwa Uganda yazidi kutia wasiwasi

  • | Citizen TV
    2,815 views
    Duration: 2:38
    Siku tano baada ya kutekwa nyara kwa wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo nchini Uganda, taarifa za waliko zimesalia finyu huku wanaharakati wakiendelea kuitaka serikali kushughulikia suala hilo haraka. Wanaharakati hawa pia wakitaka bunge kutosalia kimya kuhusu dhuluma hizi kwenye himaya za afrika mashariki. Haya yanajiri huku wizara ya mashauri ya kigeni ikisema ubalozi wa kenya nchini Uganda umetwikwa jukumu la kushughulikia suala hilo