5 Oct 2025 7:58 pm | Citizen TV 1,933 views Duration: 1:08 Watu wanne wamefariki kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu tika eneo la Transmara Kaunti ya Narok. Watu wengine 35 wamelazwa hospitalini wakitibiwa kwa ugonjwa huu