- 579 viewsDuration: 2:07Chama cha wasambazaji dawa nchini kimetoa tahadhari kuhusu upungufu wa dawa muhimu. Chama hiki kikisema kuwa uhaba huu huenda ukasababishwa na hatua ya mtafaruku wa uagizaji dawa nchini, wanaosema utaathiri kuletwa nchini kwa zaidi ya dawa elfu 21